top of page

Faida za vyakula

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Vitamin D: Faida za Kiafya

Vitamin D huhitajika kwa kiwango kidogo tu mwilini licha ya kuwa na kazi kubwa ya kuimarisha meno na mifupa.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Vitamin C: Faida za Kiafya

Vitamin C hufahamika pia kama ascorbic acid, ni vitamini muhimu kwa ukuaji wa mwili na ukarabati wa tishu zilizojeruhiwa.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Vitamin B12: Faida za Kiafya

Upungufu wa Vitamini B12 hupelekea upungufu wa damu, mzio kwenye vyakula vyenye gluteni na dalili zingine zinazotokana na madhaifu ya mishipa ya damu.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Vitamin B9: Faida za Kiafya

Huingia mwilini kwa kula vyakula na pia kutumia folate au vidonge vyenye folic acid. Upungufu wake hupelekea madhaifu ya mfumo wa neva kama mgongo wazi, kichwa maji na baadhi ya saratani.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Vitamin B6: Faida za Kiafya

Upungufu husababisha dalili mbalimbali kama vile huzuniko, kuchanika pembe za midomo, na ulimi magonjwa ya michomo kinga kwenye ulimi (inayoleta maumivu ya ulimi), tumbo na ngozi n.k

bottom of page