top of page

Faida za vyakula

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Tofaa: Faida za Kiafya

Tofaa huwa na faida za kukinga na kutibu saratani, magonjwa ya moyo na kisukari.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Pilipili manga: Faida za Kiafya

Huwa na virutubisho na madini chuma, sodiamu, kalisium, maganesi, zinki, chromium na vitamin A, vitamin C na virutubisho vingine kwa kiasi kidogo

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Njegere: Faida za Kiafya

Njegere ni chakula jamii ya mbegu,mbegu hizi huw katika kundi kubwa linaitwa legumin ambapo huwa na protini kwa wingi inayosaidia katika ukuaji wa mwili.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Karoti: Faida za Kiafya

Ni mboga yenye karotini beta, karotini alpha, lutein, vitamini A, nyuzi lishe, potasiamu na vitamini C, virutubisho vinavyosaidia afya ya macho, mfumo wa mmeng'enyo na ulinzi wa seli. Karotinoidi zake zina shughuli za antioksidantiĀ na zinaweza kusaidia kuzuia saratani na magonjwa ya moyo, huku kupikwa kwa karoti kukisaidia kuongeza upatikanaji wa vitamini A mwilini.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Komamanga: Faida za Kiafya

​

bottom of page