top of page

Faida za vyakula

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Madini muhimu mwilini: Faida za Kiafya

Madini ni moja ya virutubisho muhimu kwenye mwili wa binadamu, husaidia chembe hai ziweze kufanya kazi zake ipasavyo. Kwa kawaida mwili wa binadamu huwa hauzalishi madini, hivyo unahitaji kupata madini kupitia chakula cha mimea pamoja na kunywa maji.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Vyakula vyenye kolestro kwa wingi

Licha ya kuwa na umuhimu mkubwa kwenye mwili wa binadamu, matumizi ya vyakula vyenye kolestro kwa wingi hupelekea kupata magonjwa ya moyo na mishipa ya damu. Kutumia mafuta yatokanayo na mimea badala ya wanyama kutakukinga na hatari ya kupata magonjwa hayo.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Sumu kwenye chakula

Kula chakula chenye sumu ni dalili zinazoonekana kutokana na kula chakula kilichochangamana na sumu ya bakteria, virusi, fangasi au kemikali mbalimbali za kiwandani au zinazozalishwa na vimelea.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Faida za Mboga za majani

Ili uwe na afya njema ni lazima kutumia mbogaza majani. Mboga za majani hubeba kwa wingi vitamin,madini na nyuzinyuzi zinazosaidia mfumo wa chakula kumeng’enya chakula. Faida za mboga za majani hutegemea aina ya mboga ya majani.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Faida za Viazi vitamu

Viazi vitamu ni chakula cha mzizi kinacholimwa ardhini, viazi vina sifa ya utamu. Wanasayansi wamegundua kuwa viazi vitamu ni chanzo kizuri cha Vitamin A na vitamin B5, niacin, Riboflavin,na thiamine

bottom of page