Sehemu ya Matangazo
ULY CLINIC haiidhinishi au kupendekeza kampuni au bidhaa zinazotangazwa. Mapato yanayotokana na matangazo husaidia kuunga mkono dhamira yetu ya kutoa huduma kwa jamii bila kutafuta faida.
Shaba ni moja ya madini yenye umuhimu sana mwilini, hupatikana katika tishu zote mwilini na hufanya kazi ya kutengeneza chembechembe nyekundu za damu na kusaidia ufanyaji kazi wa neva na mfumo wa kinga ya mwili.
Wanga ni virutubisho vinavyo hitajika na mwili kwa ajili ya kuzalisha nishati ya mwili na hivyo kuupa mwili nguvu. Kuna vyakula vingi vya wanga katika jamii zetu na ndilo kundi la virutubisho vinavyopatikana kwa wingi ukilinganisha na makundi mengine ya virutubisho.
Ni madini ambavyo hufanya kazi nyingi mwilini, madini haya hayatengenezwi mwilini, tunapaswa kula vyakula vyenye madini haya kwa wingi ili kuzuia upungufu mwilini.