top of page

Faida za vyakula

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Bibo: Faida za Kiafya

Bibo ni tunda linatokana na mti aina ya mbibo, matunda haya huwa yanakua na rangi nyekundu au njano na sifa yake kuu ni Tunda lenye mbegu kwa nje.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Beri ya bluu: Faida za Kiafya

Kama ilivyo kwa mtunda mengine, beri ya bluu pia inafaida kwa afya na ni salama kwa matumizi ya binadamu kwani huwa na virutubisho na vitamini kwa kuboresha afya ya mwanadamu.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Maziwa ya ng'ombe: Faida za Kiafya

Maziwa ya ng'ombe ni chakula maalumu kwa ajili ya ndama, husababisha upungufu wa damu yakitumika kwa watoto wadogo na ugonjwa wa mifupa dhaifu kwa watu wazima.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Maziwa ya mama: Faida za Kiafya

Maziwa ya mama ni chakula maalumu kwa ukuaji wa kiakili, kimwili na kuimarisha kinga ya mwili ya mtoto. Maziwa haya hujitosheleza kwa kipindi chote cha miezi sita ya kwanza baada ya mtoto kuzaliwa.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Madini chuma: Faida za Kiafya

Upungufu wa madini chuma hupelekea upungufu wa damu kutokana na upungufu wa madini chuma unaoweza kutoka kwa wajawazito au watu wanaopata kiasi kidogo cha madini chuma kwenye chakula.

bottom of page