top of page

Faida za vyakula

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Kitunguu swaumu: Faida za Kiafya

Huwa na madini ya manganese na selenium, Vitamin C, B6, B1 na nyuzi lishe na kiasi kidogo cha calcium, shaba, potassium, phosphorus, chuma na vitamin B1.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Chungwa: Faida za Kiafya

Chungwa huwa na umuhimu mkubwa mwilini kutokana na kuwa na virutubisho zaidi ya 20. Ulaji wa chungwa hukinga mwili dhidi ya magonjwa ya kisukari, moyo, mifupa, ngozi, nywele na pumu

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Embe: Faida za Kiafya

Kikombe kimoja cha juisi ya embe huwa na mguvu ya kilo karoli 100, hivyo huwa ni kinywaji kinachotoa nishati ya kutosha mwilini.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Maharagwe: Faida za Kiafya

Maharage kwa ujumla ni chanzo kikuu cha protini (soya huongoza) kutoka katika mimea, protini hii husaidia kujenga mwili.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Kungu: Faida za Kiafya

Kungu ni tunda linalopatikana sana barani afrika, kuna aina tofauti za kungu, aina hizi hutokana na asili ya mmea unaotoa tunda hilo na sehemu mmea huo ulipo.

bottom of page