top of page

Faida za vyakula

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Faida za kiafya za madini ya Iodine

Ni aina ya madini yanayopatikana kwenye mboga za majani haswa zile zinazolimwa kwenye udongo na kando kando ya maji ya bahari.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Faida za kiafya za Mayai

Mayai ni aina ya chakula muhimu kwa binadamu, huwekwa kwenye kundi la vyakula vyenye protini. Mbali na kuwa na protini mayai ni chanzo kizuri cha vitamini A, B, B12 na D na madini ya lutein na zeaxanthin.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Parachichi: Faida za kiafya

Ni tunda lenye mafuta yasiyoshiba, nyuzinyuzi, potasiamu, folate na vitamini mbalimbali ambazo huchangia afya ya moyo, mfumo wa chakula na mwili kwa ujumla. Kwa kuwa lina kalori nyingi, ni vizuri kulila kwa kiasi kama sehemu ya lishe bora na yenye uwiano.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Vitamin E: Faida za Kiafya

Vitamini E ni miongoni mwa vitamini inayoweza kuyeyusha Mafuta. Kuna aina nyingi za vitamini E, aina mojawapo muhimu kwa binadamu ni Vitamin E aina ya alpha-tocopherol.

bottom of page