top of page

Faida za vyakula

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Tanipu: Faida za Kiafya

Tanipu ni zao la mbogamboga litokanalo na mizizi kutoka katika familia ya Brasssicaceae. Zao hili hutumika kama chakula/mboga baada ya kupikwa ili kupata faida inayotakiwa.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Tango: Faida za Kiafya

Tango ni zao linalopatikana kwenye familia ya Cucurbitaceae, umbo lake maarufu ni duara ambapo hutumika kama tunda japo pia hutumika kama mboga au kiungo baada ya kuchemshwa.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Taboli: Faida za Kiafya

Taboli ni mchanganyiko wa mboga mboga unaopatikana baada ya kuchanganya nyanya, kitunguu , minti na limao. Hutumika kama kionjo kwenye chakula huku wengine wakifanya kama mlo kamili kwa madhumuni fulani ya kiafya.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Spinachi: Faida za Kiafya

Spinachi ni mboga za kijani zitokanazo na mimea ya maua zinazopatikana kwenye familia ya Amaranthaceae. Majani yake hutumika yakiwa mabichi au baada ya kupikwa.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Shamari: Faida za Kiafya

Ni zao litokanalo na miti ya maua yenye rangi ya njano na majani yenye manyoya manyonya yenye mfanano na zao la Karoti kutoka familia ya Apiaceae.

bottom of page