top of page

Faida za vyakula

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Salsa: Faida za Kiafya

Salsa ni mchanganyiko unatokea baada ya kuchanganywa kwa pilipili , nyanya pamoja na chumvi na baadhi na aina fulani ya mboga za majani.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Rutabaga: Faida za Kiafya

Rutabaga ni mbogamboga zitokanazo na mizizi kutoka familia ya Brassica Napus.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Rhubarb: Faida za Kiafya

Ni majani yenye uchachu yanayoliwa yanayotokana na mmea jamii ya Rheum. Rhubabi hutumika kama chakula baada ya kupikwa kwa afya bora ya mtumiaji.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Ratatouille: Faida za Kiafya

Ni mchanganyiko wa mboga mboga za majani kama vile nyanya, kitunguu swaumu, kitunguu maji, bilinganya , zucchini , pilipili hoho, basili na thyme zinazopikwa ili kutengeneza mlo mmoja.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Radishi: Faida za Kiafya

Radishi ni mbogamboga zitokanazo na mizizi inayotokana na mimea inayopatikana kwenye familia ya Brassicaceae. Mboga mboga hizi huweka kutumika ikiwa mbichi au baada ya kuchemshwa.

bottom of page