Sehemu ya Matangazo
ULY CLINIC haiidhinishi au kupendekeza kampuni au bidhaa zinazotangazwa. Mapato yanayotokana na matangazo husaidia kuunga mkono dhamira yetu ya kutoa huduma kwa jamii bila kutafuta faida.
Tipisi ni matunda jamii ya pichi kutoka familia ya rosaceae kundi la prunus. Tunda hili huwa tamu na limesheheni vitamini, virutubishi na madini ya kutosha kwa afya ya mlaji.
Shelisheli ni tunda jamii ya fenesi lakini huwa na umbile dogo. Huwa na faida nyingi kama kuimarisha afya ya macho na uono, kulainisha haja kubwa, kupunguza maumivu ya misuli n.k
Tunda la tini limesheheni virutubishi na vitamini kwa wingi kwa kazi muhimu ya ujenzi wa mwili, kurekebisha sukari, kuzuia saratani, kutibu magonjwa ya tumbo n.k
Huwa na kiwango kidogo cha sukari, lakini licha ya kuwa na wanga wa kutosha kiasi cha kama mbadala wa wanga wa kawaida kwa watu wanaotaka kupunguza uzito.