Sehemu ya Matangazo
ULY CLINIC haiidhinishi au kupendekeza kampuni au bidhaa zinazotangazwa. Mapato yanayotokana na matangazo husaidia kuunga mkono dhamira yetu ya kutoa huduma kwa jamii bila kutafuta faida.
Mwili unahitaji kiwango sahihi cha maji ili kuendesha shughuli mbalimbali zinazokufanya uwe na afya njema. Mahitaji ya maji hutofautiana kati ya mtu mmoja na mwingine.
Ni mbadala mwingine wa maziwa ya ng’ombe na kwa wale wenye mzio na maziwa ya ng'ombe au maziwa mengine ya mimea. Hupendekezwa sana kwa watoto wanaoharisha.
Vijiko viwili vya mbegu ya chia huwa na nishati kiasi cha kalori 101, pia huwa haina gluten hivyo huwa nzuri kwa wagonjwa wenye aleji na protini hii inayopatikana kwenye ngano.
Kwa sababu mbezu za boga huwa na kiwango kizuri cha nyuzinyuzi na mafuta ya omega-6, mafuta haya huwa na tabia ya kupunguza kiwango cha lehemu mbaya kwenye damu.