Sehemu ya Matangazo
ULY CLINIC haiidhinishi au kupendekeza kampuni au bidhaa zinazotangazwa. Mapato yanayotokana na matangazo husaidia kuunga mkono dhamira yetu ya kutoa huduma kwa jamii bila kutafuta faida.
Ni maarufu miongoni mwa maziwa yote yenye asili ya mimea na yamesheheni protini nyingi kuliko maziwa mengine na pia huwa ma estrojeni inayokinga dhidi ya saratani ya tezi dume na matiti.
Imetengenezwa kwa punje za shayiri iliyosukwa sukwa na kukaushwa kwa kuchoma. Hupendekezwa kwa watoto na wamama wajawazito kutokana na kuwa na nishati, madini na vitamin muhimu kwa afya ya mwili.
Kuna ushahidi wa kisayansi kuhusu matokeo mazuri ya matumizi ya zao hili kwa wagonjwa wa kisukari, shinikizo la juu la damu na wenye kiwango kikubwa cha lehemu.