top of page

Faida za vyakula

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Lozi: Faida za Kiafya

Lozi ni chakula chenye protini, mafuta yasiyoshiba, nyuzi lishe, vitamini E, magnesiamu, kalishiamu na potasiamu kwa wingi. Virutubisho hivi huchangia afya ya moyo, mifupa, mfumo wa fahamu, udhibiti wa uzito na ulinzi wa seli, hivyo lozi inaweza kuwa sehemu yenye thamani ya lishe bora.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Kiazisukari: Faida za Kiafya

Kiazisukari ikifahamika pia kama biti au beet ni zao la mzizi, huwa na umbo la duara na hushamiri kwa majimaji yenye rangi na hivyo kuifanya kuwa na mwonekano wa rangi nyekundu. Mmea wa kiazi sukari pia huwa na rangi inayofanana na kiazi.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Kabeji ya kichina: Faida za Kiafya

Kabeji ya kichina ni aina ya mboga yenye asili Uchina, ambayo imekuwa ikitumika tangu enzi za zamani kutokana na umahiri na uwezo wake katika tibalishe.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Jozi: Faida za Kiafya

Jozi imekua ikitumika kama chakula tangu enzi mpaka miaka hii imekua ikishauriwa kutumika kwa kuwa ni bora na salama kwa afya.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Choya: Faida za Kiafya

Choya huwa na umuhimu mkubwa mwilini mwa binadamu kwa kuwa huwa na virutubishi vingi, maua yake huweza kutumika kama sharubati, chai au kusindikwa kuwa mvinyo.

bottom of page