Sehemu ya Matangazo
ULY CLINIC haiidhinishi au kupendekeza kampuni au bidhaa zinazotangazwa. Mapato yanayotokana na matangazo husaidia kuunga mkono dhamira yetu ya kutoa huduma kwa jamii bila kutafuta faida.
Korosho ni zao linalopendwa kutafunwa hiyo ni kutokana na utamu pamoja na ladha yake bila kusahau viinilishe na virutuubisho vinavyopatikana baada ya kulitumia.
Oxalate ni kampaundi inayopatikana kwenye vyakula mbalimbali vya nafaka na mimea na pia hutolewa na mwili kama zao la umetaboli. Matumizi ya vyakula vyenye oxalate kwa wingi husababisha mawe kwenye figo.
Vitamin ni kiinirishe cha muhimu unachotakiwa kupata kila siku kwa ajili ya afya yako. Huhitajika kwa kiasi kidogo kwenye chakula unachokula. Vitamin K huhitajika kwa ajili ya ugandishaji wa damu mwilini.