Sehemu ya Matangazo
ULY CLINIC haiidhinishi au kupendekeza kampuni au bidhaa zinazotangazwa. Mapato yanayotokana na matangazo husaidia kuunga mkono dhamira yetu ya kutoa huduma kwa jamii bila kutafuta faida.
Upungufu wa vitamin B5 hutokea kwa nadra sana na ikitokea mara nyingi huwa kwa mtu mwenye utapiamlo. Dalili za upungufu ni pamoja na hisia za miguu kuchomachoma, kuwaka moto au ganzi.
Upungufu wake husababisha kuchanika, mipasuko na vidonda kwenye ngozi na kona za mdomo, michomo kinga kwenye ngozi na macho, kuumizwa na mwanga, kukosa hamu ya kula na kuchoka n.k
Upungufu wake hupelekea hisia za kuwaka moto na kulegea kwa miguu na mikono, moyo kwenda mbio, kuvimba mwili, kukosa hamu ya kula, kichefuchefu, uchovu na matatizo mengi ya mfumo wa chakula.