Sehemu ya Matangazo
ULY CLINIC haiidhinishi au kupendekeza kampuni au bidhaa zinazotangazwa. Mapato yanayotokana na matangazo husaidia kuunga mkono dhamira yetu ya kutoa huduma kwa jamii bila kutafuta faida.
Huwa na rangi tofauti kama ilivyo kwenye picha, forosadi rangi ya blue na nyekundu, matunda haya huwa na kiwango kikubwa cha viini vya anthocyanins ambayo imeonekana kuwa na faida katika afya ya moyo.
Huwa na kiwango kikubawa cha wanga, nyuzi lishe na protini ambayo hupatikana katika kiini cha mbegu, wanga husaidia kutupa nguvu mwilini na nyuzi lishe husaidia mmeng'enyo wa chakula.
unga wa jira unatumika kama kiungo cha kupikia hasa pilau na huleta radha na harufu nzuri, lakini kiungo hiki kina ya kuimarisha mmeng'enyo wa chakula n.k