top of page

Faida za vyakula

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Vyakula vya Protini

Protini ni mnyororo wa amino asidi uliongnaishwa na kiungnaishi α-peptide. Hufanya kazi kuu ya kurekebisha tishu zilizoumia na kukuza mwili.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Ndizi: Faida za Kiafya

Ni tunda linalosifika katika tiba kwa kushamiri potasiamu, pia huwa na virutubisho vingine muhimu kwa ajili ya afya ya mwili.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Zukini: Faida za Kiafya

Zukini ni aina ya boga mwitu kutoka kundi la Cucurbita pepo, huvunwa ingali bado changa na kutumika kama chakula baada ya kuchemshwa/kupikwa au kuokwa.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Uyoga: Faida za Kiafya

Ni chakula chenye nishati kidogo, protini, nyuzi lishe, potasiamu, fosforasi, niasini na riboflavin, pamoja na kampaundi hai zinazoongeza thamani yake ya lishe. Kuongeza uyoga unaotambulika kuwa salama kwenye lishe husaidia kuongeza utofauti wa vyakula na virutubisho, huku uyoga wa porini ukipaswa kuliwa tu baada ya kutambuliwa kwa usahihi ili kuepuka sumu.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Ufuta: Faida za Kiafya

Ufuta ni mbegu zitokanazo na mmea wa ufuta mmea wa maua unatokao kwenye kundi la sesamum. Mbegu za hizi zinafaida lukuki kwa afya ya mlaji hiyo ni kutokana na virutubisho ilivyonavyo.

bottom of page