top of page

Faida za vyakula

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Kiazi mviringo: Faida za Kiafya

Kiazi mviringo ni chanzo kizuri cha kabohaidreti, vitamini C, vitamini B6, potasiamu na nyuzi lishe, huku aina za njano, bluu na zambarau zikiwa na kampaundi mbalimbali za mimea. Virutubisho hivi huchangia nishati, afya ya kinga, mfumo wa fahamu, misuli na mfumo wa mmeng’enyo, lakini viazi vyenye sehemu za kijani au vilivyoota sana vinapaswa kuepukwa kwa sababu vinaweza kuwa na glycoalkaloids nyingi.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Kiazi kitamu: Faida za Kiafya

Ni chanzo kizuri cha karotini beta, vitamini C, vitamini B6, potasiamu na nyuzi lishe, pamoja na magnesiamu na fosforasi. Virutubisho hivi huchangia afya ya macho, kinga ya mwili, mfumo wa mmeng’enyo wa chakula, misuli na mfumo wa fahamu, hivyo ni sehemu yenye thamani katika lishe bora.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Guacomole: Faida za Kiafya

Ni mchanganyiko unaopatikana baada ya kuchanganya parachichi,chumvi,sharubati ya ndimu na kitunguu maji ambapo hutumika kama kichanganyio kwenye chakula. Na imekua na faida nyingi kwa mwili wa mwanadamu.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Figili: Faida za Kiafya

Figili ni mbogamboga inayotokana na mizizi ya figili ambayo huandaliwa kama chakula. Mbogamboga hii ni maarufu kutokana na kuwa na virutubisho na madini kwa wingi.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Dengu: Faida za Kiafya

Dengu ni zao la nafaka linapotaikana kwenye familia ya fabaceae, ni moja ya zao lenye protini kwa wingi na faida lukuki kwa ukuaji wa mwili.

bottom of page