top of page

Faida za vyakula

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Darabi: Faida za Kiafya

Darabi ni matunda madogo yanayoliwa yanayotokana na mti uzalishao maua familia ya Myrtaceae. Tunda hili huliwa baada ya kukomaa na kuwa nyekundu.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Bruseli hupuka: Faida za Kiafya

Bruseli hupuka ni zao litokanalo na mimea jamii ya Brassica oleracea, zao hili hutaka kufanana na kabichi lakini huwa na umbo kulinganisha na kabichi.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Brokoli: Faida za Kiafya

Brokoli ni mimea ya kijani inayopotaikana kundi moja na kabichi (Brassica) na huliwa kama mboga. Mmea huu huwa na kiwango kikubwa vitamin C.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Bokichoyi: Faida za Kiafya

Ni aina ya kabeji ya kichina kutoka kundi la kundi la brassica rapa inayotumika kama chakula.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Boga mwitu: Faida za Kiafya

Boga mwitu ni tunda linalotokana na mimea ya matunda inayopatikana kwenye familia Cucurbitaceae . tunda hili huandaliwa kwa kupikwa na kutumika kama chakula.

bottom of page