top of page

Faida za vyakula

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Boga: Faida za Kiafya

Boga ni tunda la msimu lenye rangi za aina mbalimbali kutoka kundi la Cucurbitaceae. Tunda hili ni maarufu katika afya kutokana na kushamiri virutubisho na madini mbalimbali.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Bilinganya: Faida za Kiafya

Bilinganya ni zao linalopatikana kwenye familia ya Solanaceae, ambapo hutumika kama mboga baada ya kupikwa ili kuliwa kama chakula.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Tende: Faida za Kiafya

Tende ni tunda lenye madini kwa wingi. Matumizi ya mara kwa mara huchochea uzalishaji wa kinga ya mwili, kupunguza mzio, kuzuia uharibifu wa vinasaba na kuimarisha uwiano wa homoni.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Tikiti maji: Faida za Kiafya

Tikiti maji huwa na maji kwa zaidi ya asilimia 90, hivyo husaidia kuupa mwili maji ya kutosha, huwa na vitamin C, vitamin A, magnesiamu, na kemikali muhimu kama lycopene ambayo husaidia kulinda moyo, ngozi na chembe hai za mwili dhidi ya uharibifu. Ulaji wa tunda hili kwa mara unaweza kusaidia kuboresha kinga ya mwili na afya ya mishipa ya damu.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Zambarau: Faida za Kiafya

Ni tunda lenye nyuzi lishe, vitamini C, potasiamu na anthosayanini, ambazo huchangia afya ya mfumo wa chakula, kinga ya mwili na ulinzi wa seli dhidi ya msongo wa oksijeni huru. Huwa pia na uwezo wa kupunguza sukari kwenye damu ingawa ushahidi wa kitabibu kwa binadamu bado hautoshi kulichukulia kama tiba au mbadala wa dawa za kisukari.

bottom of page