top of page

Faida za vyakula

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Kiwi: Faida za Kiafya

Ni tunda lenye vitamin C kwa wingi, nyuzi lishe, potasiamu na folate, hivyo huchangia afya ya kinga, mfumo wa chakula, ngozi na utendaji wa kawaida wa mwili. Kulila kama sehemu ya lishe bora huongeza virutubisho muhimu, lakini watu wenye mzio wa kiwi wanapaswa kuliepuka na kupata ushauri wa kitabibu inapohitajika.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Kantalupu: Faida za Kiafya

Hushamiri vitamini A na potassium, virutubisho muhimu kwa afya ya macho, mishipa ya damu na Moyo.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Fenesi: Faida za Kiafya

Ni tunda kubwa lenye vinundu kwa nje, hupatikana kwenye familia ya Moraceae. Tunda hili huwa maarufu kwa sababu ya utamu wake na virutubishi ilivyonavyo

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Duriani: Faida za Kiafya

Licha ya kuwa na harufu kali, hufahamika kama mfalme wa matunda kwa sababu ya kushamiri vitamini na virutubisho muhimu kwa afya ya binadamu.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Cherimoya: Faida za Kiafya

Ni matunda yanayoliwa na binadamu yanayopatikana kwenye kundi la Annona kutoka kwenye familia ya Annonaceae. Tunda hili hufanana na topetope kuanzia umbo mpaka mbegu za ndani ila utofauti wake ni kwenye ladha, virutubisho, madini na vitamini ijapokuwa yote hujenga na kuimarisha mwili

bottom of page