top of page

Faida za vyakula

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Cheri: Faida za Kiafya

Ni matunda yenye umbile dogo jamii ya zabibu yatokanayo na miti ya maua kundi la prunus. Matunda haya huwa faida nyingi za kiafya kwa binadamu kwa kuwa huwa na mafuta kidogo, wanga pamoja na vitamini kwa wingi.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Chenza: Faida za Kiafya

Chenza ni matunda yatokanayo na miti ya maua jamii ya chungwa, tunda hili huliwa na binadamu na limeshamiri virutubishi na madini kwa wingi. Moja ya faida ya tunda hili ni kuimarisha kinga ya mwili.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Carambola: Faida za Kiafya

Carambola ni moja ya matunda yanayoliwa na binadamu na huwa na umbo la nyota (likikatwa). Matunda haya yanapatikana kundi la Averrhoa carambola na linaeza tumika kama chakula kama lilivyo au baada ya kupika.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Maziwa ya shayiri: Faida za Kiafya

Ni mbadala wa maziwa ya ngombe haswa kwa wale wenye mzio nayo pia ni chanzo cha protini na vitamin B.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Uji wa shayiri: Faida za Kiafya

Kama ukiongezewa maca huweza tumika kuimarisha tendo la ndoa mbali na kupunguza ufyonzwaji wa sukari na kiwango cha lehemu kwenye damu.

bottom of page